Thursday 26 November 2015

Offertory.. TWAOMBA SANA

Twaomba  Sana  Mungu  Baba  sadaka  yetu 
Kweli  baba  na ikupendeze  siku  zote,. Nipokee  mikononi  mwako *2
Stanza  one :
Baba mwenyezi  tunakotolea  sadaka  yetu,
Uichukueu na ikupendeze.

Stanza  two.
Pokea  sadaka  ya  kutupatanisha  na utujalie  tupate  kukutolea  mapendo  Safi.

Stanza  three...
Twaleta  dhabihu  Za ibada  yetu  Kwenye .
Madhabahu  yako  uwe  radhi  baba  kuzipokea..

Stanza  four :
Nitasema mwema mengi  Bwana  unayatenda,. Yapasa  shukrani  nitoe  mimi  Bwana  ili
Nikuridhishe.

No comments:

Post a Comment