Thursday 26 November 2015

BWANA AMEWEZA

Stanza  one :
Haya  tazameni  ninyi  wenyewe
Mungu  wangu  mwenye  nguvu
Ametenda  yote.
Hata  magumu  yasiyofanyika_
Chorus :
AMEWEZA huyo AMEWEZA (yametimia)
Ameweza  huyo  Ameweza  (yametimia)
Bwana  Mungu  kaweza  huyo  ameweza
(Yametimia) yasiyowezekana  huyo
Ameweza (yametimia) yote  ameyashinda
(huyo ameweza  yametimia) *2

Stanza two.
Maji yaliyomwagika  kabisa_.
Ameyazoa  yakajaa  upya_

Stanza  three :
Katikati  ya bahari  ya shamu.
Israeli  kapita  kwa  miguu_

Stanza  four ;
Nilipofukiwa  shimo  LA zeze_
Kulipokucha  kaniweka  huru -.

Stanza  five :
Vilema  vyangu nilimwonesha -
Amevigusa  vikapona -

Stanza  six:
Nitapaza  sauti  kilimani_
Dunia  yote  isikie  haya-

No comments:

Post a Comment