Sunday 20 December 2015

YA KALE YAMEPITA BY MARION SHAKO

Artist: Marion Shako Song:

Ya Kale Yamepita

Language: Kiswahili

Inua shangwe,
uliyeitwa tasa Inua wimbo,
yakale yamepita Panua hema yako,
panua pazia zako Utaenea pande zote,

yakale yamepita Bwana asema -
Tizama tena,
tizama tena Yakale yamepita natenda kitu kipya*3

Bwana atakuwa,
Mume wako Mkombozi wako,
sahau ya kale Hakuna silaha,
itakayo inuka kinyume chako Usiogope, atayafanya yote mapya

1 comment: