Saturday 26 December 2015

NABII ISAIAH LYRICS BY ANGELA CHIBALONZA

Nabii Isaiah

Details Written by Ester  Nyamai

Angela Chibalonza lyrics.

Chibalonza Song:. Nabii Isaiah

Verse 1
Nabii Isaiah alinena kwa watu wote,
Nabii Isaiah alinena kwa watu wote,
Mkono wa bwana si mfupi kwa kutubariki,
lakini dhambi zetu ndizo zinatutenga naye,

Mkono wa bwana si mfupi kwa kutubariki, lakini dhambi zetu ndizo zinatutenga naye,

Chorus

unapotembea jiulize ndugu,
unapotembea jiulize ndugu,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,

anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,

Verse 2
maana sisi sote tumetenda dhambi,
na kupungukiwa na utukufu wake Mungu, maana sisi sote tumetenda dhambi,
na kupungukiwa na utukufu wake Mungu,

maana maombi ya mwenye dhambi ni kama kelele mbele za mungu,
maana maombi ya mwenye dhambi ni kama kelele mbele za mungu,
lakini maombi ya mwenye haki ni kama manukato,
lakini maombi ya mwenye haki ni kama manukato,

Chorus
unapotembea jiulize ndugu,
unapotembea jiulize ndugu,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,
anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,

Verse 3

  Mungu anatafuta mtu atakaye simama,
  ili amutume kuokoa taifa lake,
  Mungu anatafuta mtu atakaye simama,
  ili amutume kuokoa taifa lake,
Jamani wapendwa tusimame
tumfuate bwana Yesu
Na sisi sote tutashinda,  tutaokolewa!

Chorus
unapotembea jiulize ndugu,
unapotembea jiulize ndugu,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,
anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,
unapotembea jiulize ndugu,
unapotembea jiulize ndugu,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
maana yote ufanyayo bwana anakuona,
anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,
anajua mwenendo wako na kukuchunguza vyema,

No comments:

Post a Comment