Sunday 20 December 2015

NEEMA LYRICS BY EUNICE NJERI

Artist: Eunice Njeri Song :

LYRICS Written  by  Ester Nyamai

Language: Kiswahili

Verse1

Neema yako, ya ajabu,
imeniokoa,  a-a nili-potea
ukanipata,sasa nimeona,
o-o neema yako ya ajabu (u-u-u),
imeniokoa, nilipotea ukanipata (u-u-u),
sasa ninaona,

Chorus

o-o bwana nina shukuru,
(ninashukuru), ninashukuru
(ninashukuru), ninashukuru
kwa ne-ema yako ya ajabu!
o-o baba nina shukuru,
(ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa ne-ema yako, ya ajabu!

Verse 2
Neema hiyo imenitosha,
imenisamehe, baba,
Udha-hifu wangu umeufanya nguvu,
milele na sifu, Neema hiyo imenitosha, imenisamehe, Yahweh, Udha-hifu wangu umeufanya nguvu, milele nasifu,

Chorus

o-o baba nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru),
ninashukuru kwa ne-ema yako, ya ajabu!
e-e baba nina shukuru, (ninashukuru),
ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa ne-ema yako,
(hallelujah) ya ajabu!

Verse 3
Ni kwa ne-e-ema, Ni kwa ne-e-ema,
Ni kwa ne-e-ema, mi naishi e e!
Ni kwa ne-e-ema, Ni kwa ne-e-ema (naishi),
Ni kwa ne-e-ema,
       (halleluyah)
nita shuhudia neema yako,
Yahweh! Kama si wewe Yesu,
tungekua wapi sote?
Jehovah Shalom (a a a),
Jehovah Nisi, Jehovah Mungu,
Jehovah Rohi! Ubarikiwe!
      Hallelujah!
Hakuna kama wewe Yesu!
Asante kwa Neema!
Nita shukuru milele
milele! Milele! milele! baba!

Chorus
bwana nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru),
ninashukuru kwa ne-ema
    (o-o) yako ya ajabu!
     o-o baba
(nina sema asante)nina shukuru,
(ninashukuru), ninashukuru
      (ninashukuru),
ninashukuru kwa ne-ema yako, ya ajabu!
e-ebwana nina shukuru,
    (ninashukuru),
ninashukuru, ninashukuru baba
     (ninashukuru),
ninashukuru kwa ne-ema yako ya ajabu!
e-e baba natoa asante, nasema asante Yahweh

(ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru),          ninashukuru kwa ne-ema yako ya ajabu!

(Asante kwa neema, yesu nashukuru, kwa neema!)
(Asante kwa neema, kama siwewe tuge imba, tuimbe nini!)

No comments:

Post a Comment