Sunday 20 December 2015

UMENIANDALIA MEZA LYRICS BY MARION SHAKO

Umeniandalia Meza lyrics by Marion Shako

Verse 1:
Bwana mchungaji wangu,
sitapungukiwa katika malisho ya majani,
mabichi hunilaza Kwa maji matulivu,
yeye huniongoza
Kwa uvuli wa mauti, sitaogopa kamwe

Chorus:
Umeniandalia, meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu,
Bwana huniongoza Huisha nafsi yangu,
katika njia za haki Kwa ajili ya jina lako,
wewe upo nami

Verse 2:
Nimekukimbilia, Baba Mungu wangu Nisiaibike, mbele za watesi wangu Wewe upo nami,
gongo na fimbo yako vyanifariji Baba, Sitaogopa kamwe

(Chorus)

Verse 3:
Umenipaka mafuta,
kichwani mwangu Kikombe kinafurika,
machoni pa watesi wangu Wema nazo fadhili,     zitanifuata Siku zote za maisha yangu,   nyumbani mwako milele

No comments:

Post a Comment