Sunday 20 December 2015

WA MILELE LYRICS BY MARION SHAKO

Wa Milele

Language: Kiswahili

Baba nakupa sifa tele,
kwakuwa wewe hauna mwisho
Wee Alfa, All- na Omega,
Mungu wangu ni wa milele
Wa milele, wamilele
weee Bwana ni wa milele*2

Sifa kwa mwana Kondo,
aliyeketi Kiti cha enzi.
Sina hofu sina Shaka
Najua wewe hauna mwisho..*2

    Nakupa sifa Bwana-
    Niwa milele Pokea utukufu Bwana
    Niwa milele Unuliwe Mungu
       wetu-Ni wamilele
Bam bam bam bam..

Bridge
…wa milele…. Yaweh ni Mungu
Huruma za Bwana-nitele,
Rehema zako- Hazikomi
Ni mpya kila –asubuhi,
uaminifu wako ni wa mkuu*2

Furaha yako,
ni nguvu zangu Neno lako,
ni taa yangu Mashariki,
magharibi nikitizama,
Yaweh ni Mungu Kaskazini,
na kusini, nikitizama Yaweh Mungu.*2

Upendo wako-kainua,
nguvu zako- kaniokoa
Nikupe nii Mungu wangu,
Pendo lako-nila milele*2

mimina upendo wako Yaweh-
Yaweh-mimina upendo wako*2

Rehema Rehema Mimina mimina

1 comment: