Sunday 20 December 2015

BABA NAOMBA LYRICS BY KAHURA

BABA NAOMBA BY KAHURA

Language :Kiswahili
Lyrics  written  by  Ester  Nyamai

Macho yangu, nayainuya,
Nibadilishe, Unibariki,
baraka zako, haina huzuni,
niza kudumu milele amina

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki *2

ukabadilisha, yakobo jina ukamwita,
isreael maana yake, kubarikiwa
nami naomba kubarikiwa nawe.

Ninapokutazama utanininua,
Ninapokutazama utanibariki,
Ninapokutazama sitaogopa kamwe,
Sitoki hapa bila uguso wako.

Ukinigusa nimebarikiwa,
Uguso wako, ni baraka kwangu,
ulimgusa Batholomayo akaona,
Ndipo nasema, nataka uguso wako.
Sitoki hapa usinibariki.

No comments:

Post a Comment