Saturday 19 December 2015

NAONA MACHO YAKINITAZAMA LYRICS BY EUNICE NJERI

Language:Kiswahili

VERSE 1 LYRICS:
Waliosema wananipenda Baba Hao leo,           wamenitenda mimi

tuliokuwa nao mezani moja hao Baba mi wananicheka

Waliosema nitaweza wanasema yangu kwisha nahisi sina starehe nahisi nimo pekee nahisi sina starehe nahisi nimo pekee, naona

CHORUS LYRICS:

Naona macho yakinitazama kwa upendo naona macho yakinitazama kwa mafanikio naona macho yakinitazama kwa upendo
naona macho yakinitazama kwa mafanikio Ndugu yangu usichoke, jipe nguvu sana
wee unahisi umechoka, huoni uendelee mlima ni mrefu lakini Mwamini Mwokozi inuka usimame, inuka uandaze

VERSE 2 LYRICS:
Umefutwa kazi, maisha yanakwenda kwa kasi we umeshindwa kurudi nyumbani,
umevumilia sa itakuaje unalia kwa ndani, unaichuma gizani wewe machozi yanitoka, mawazo yanijaa moyoni nashindwa navyoishi, sielewi ni kwanini na nguvu nazo sina, aina Zako Mwokozi na hapo nimefika, ni Wewe ni Wewe

CHORUS LYRICS:

Naona macho yakinitazama kwa upendo naona macho yakinitazama kwa mafanikio naona macho yakinitazama kwa upendo naona macho yakinitazama kwa mafanikio
Ndugu yangu usichoke, jipe nguvu sana
wee unahisi umechoka, huoni uendelee mlima ni mrefu lakini Mwamini Mwokozi inuka usimame, inuka uandaze

VERSE 3 LYRICS:
Maisha ni kusoma na kuibuka kama papa baharini leo wakosa ni, wengine kajaliwa

mashambani kukosa si ajali, maishani kukosa si ajali, niliruka angani kukosa si ajali, maisha wee kukosa si ajali

I CHORUS LYRICS:
Naona macho yakinitazama kwa upendo naona macho yakinitazama kwa mafanikio
naona macho yakinitazama kwa upendo
naona macho yakinitazama kwa mafanikio Ndugu yangu usichoke, jipe nguvu sana
wee unahisi umechoka, huoni uendelee
mlima ni mrefu lakini Mwamini Mwokozi
inuka usimame, inuka uandaze

Naona macho yakinitazama kwa upendo
naona macho yakinitazama kwa mafanikio naona macho yakinitazama kwa upendo
naona macho yakinitazama kwa mafanikio

2 comments: