Saturday 26 December 2015

NATAMANI NIKUONE LYRICS BY ANGELA CHIBALONZA


Natamani nikuone

Angela Chibalonza lyrics
Angela Chibalonza Song:Natamani nikuone

Language:Kiswahili

VERSE 1 LYRICS:
Nina tamani nifanye mapenzi yake
ili nifike binguni kwa Baba yangu
Ninatamani niishi karibu Naye
ili ninywe maji, maji ya uzima ya milele

Yesu Akasema, Mimi ndimi ndiye ya uzima Hakuna awezaye kufika kwa Baba yangu,
       ila kwangu mimi
Mimi ndimi ndiye ya uzima
Yesu Akasema, Mimi ndimi ndiye ya uzima Hakuna awezaye kufika kwa Baba yangu,
ila kwangu mimi Mimi ndimi ndiye njia ya uzima

CHORUS LYRICS:
Baba, natamani nikuone Baba,
natamani nikuone Masia,
natamani nikuone Maishani mwangu
natamani nikuone Baba, natamani nikuone

VERSE 2 LYRICS:
Natamani niombe bila kukoma ili nifike binguni kwa Baba yangu
Natamani niyashinde majaribu, niukwe taji, taji ya uzima ya milele

Yesu Akasema, mimi ndimi mkate wa uzima Atakaye nila, hataona kamwe njaa, bali atakaa karibu nami milele

Yesu Akasema, mimi ndimi mkate wa uzima Atakaye nila, hataona kamwe njaa, bali atakaa karibu nami milele

CHORUS LYRICS:
Baba, natamani nikuone Baba,
natamani nikuone Baba,
natamani nikuone Maishani mwangu
natamani nikuone Baba,
natamani nikuone Yesu natamani nikuone Masia wangu natamani nikuone Baba, natamani nikuone Baba,
natamani nikuone Baba,
natamani nikuone Maishani mwangu
natamani nikuone Baba, natamani nikuone Baba,
natamani nikuone Masia, natamani nikuone Nchi ya Kenya, tunatamani tukuone

No comments:

Post a Comment