Sunday 20 December 2015

FLORENCE ANDENYI. KIMBILIO LANGU LYRICS

(refrain)

Kimbilio langu ,ni yesu ,
Msaada wangu ,ni Yahweh x3

Verse1
Nilipokuwa na magonjwa
msaada wangu ni yesu
Nilipokuwa na shida-
kimbilio langu ni yesu,

(Nilipotazama juu nikaita msaada tosha, Msaada wa Baraka ,msaada wa uponyaji, Eeh yesu we)x2

Verse2
Pokea sifax2
pokea sifa na utukufu baba
(pokea sifa eeh)x2

Wewe ni mwemax2
wewe ni mwema maishani mwangu,
(Wewe ni mwema eeh),
wewe ni mwema maishani mwangu baba (wewe ni mwema aah)

Umetambulika
umetambulika dunia yote,
(umetambulika aah)x2

The (Refrain)

Verse3

Nani kama wewex2
hakuna mwingine kama wewe ,
(Umetambulika aah)x2

Umeinua moyo wangu,
(umetambulika)
Umenipa siku njema baba ,
(umetambulika)
Umekuwa mwema tena ,
(umetambulika)

No comments:

Post a Comment