Sunday 20 December 2015

NURU YANGU LYRICS BY MARION SHAKO

Bwana ni Nuru Yangu
Na wokovu wangu
Ni mwogope nani*2

Neno Moja,
nimelitamani
Nikae Nyumbani
mwa Bwana
Siku zote.

  Niutazame,
  uzuri wake Nitafakari,
  hekaluni mwake Kichwa changu,
  kitainuka
  Juu  ya adui zangu

  Nitatoa,dhabihu
  za shangwe Hemani,
  mwake.

   nitaimba Neno Moja-
  Nimetamani Neno Moja –
  Nimetamani Neno Moja-
  Niiiiiiimetamani*3

No comments:

Post a Comment