Sunday 20 December 2015

INUKA BABA INUKA LYRICS BY MARION SHAKO

i Nyakati zangu zimikononi mwako
–Inuka Bwana Inuka
Nikomboe na adui zangu
–Inuka Bwana Inuka

Nizingire na moto wako,
nifinike na mbawa zako
Inuka Inuka Bwana,
Maadui watawanyike.

. Inuka Inuka Bwana, Maadui watawanyike.*2

Arise Oh God Arise,
Let your enemies be scattered
Arise Oh God arise,
Let your enemies be Scattered.*2

Angaza uso wangu –
Inuka Bwana Inuka
Niokoe kwa upendo wako –
Inuka Bwana Inuka
Nikumbuke kwa rehema zako,
Bila wewe sitaaweza

No comments:

Post a Comment