Monday 28 December 2015

NASHUKURU BY MERCY LINAH WAMBUGU

Nashukuru by Mercylinah Wambugu

Umenipa uhai baba nafasinyingine ya siku mpya.
Baaaabaaaa, Nashukuruuu.

Umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu wewe yesu.
Babaaaaa, Nashukuruu

Umeondoa laana kabadilisha kuwa baraka.   Baba, Nashukuru.

Kilio changu ewe yesu kabadilisha kuwa furaha.
Baba, nashukuru.

Chorus
Kwa moyo wangu wote.
Nasema asante kwako Messiah Nashukuru

Nilipokuwa mnyonge baba umekua nguvu yangu. Babaa, Nashukuru

Nayo mishale ya yule mwovu hayajanipata umenilinda
Babaaa, Nashukuru

Umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imara.
Babaaaa, Nashukuru

Umenitoa kwenye shimo la giza kaniweka kwenye mwanga. Babaaa, Nashukuru.

Chorus
Kwa moyo wangu wote.
Nasema asante kwako Messiah Nashukuru Yale yote umetenda ni mingi mno na ya ajabu. Sijuie nisemeje.
Messiah Nashukuruuu.

No comments:

Post a Comment