Sunday 20 December 2015

NAPOKEA KWAKO LYRICS BY CHRISTINA SHUSHO AND JANET OTIENO

Lyrics  written  by  Ester  Nyamai

Verse 1
(Janet Otieno)

Maisha magumu sana nimepitia
Nikajaribu tafuta msaada Sikupata
Nikaendea Mwanadamu
mwisho akanidharau
Kumbe Msaada wa mwanadamu unatoka kwa Mungu

(Christina Shusho)
Nilijua wapo wenye haki yakubarikiwa tuu Kumbe baraka nihaki ya kila mmoja

(Janet Otieno)
Nimebadili wazo langu
namwelekea Mungu
Kwake msaada wangu unapatikana

(Christina Shusho)
Msaada wa mwanadamu ni wa muda mfupi Nami zamu yangu kubarikiwa weeee

Chorus
Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
Napokea Kwako Baba Napokea Kwako Napokea Kwako Baba Napokea kwako
Napokea Kwako Yesu Napokea Kwako Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

Verse 2

(Christina Shusho)
Nimeamua Kwenda Zaidi Na Zaidi
Nimejipanga hadi nione matunda yake

(Janet Otieno)

Yale Mungu Amewekeza Ndani Yangu
Najua Mungu yuko Kazini Kunikamilisha

(Christina Shusho)

Akisema nimebarikiwa nimebarikiwa tuu Hataukipinga wewe leo mimi nimebarikiwa tuu

(Janet Otieno)
Mlima gani kuu sana Usioung’owa
        ( Usioung’owa ee)
Jaribu gani gumu sama usiloweza
      ( Usiloweza Mungu Wee)
Chozi gani zito kwako usilolifuta
        ( Mizito Mizito)
Maombi Gani Kubwa Sana Usilolijibu

Chorus
Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
Napokea Kwako (Baraka Yangu)
Baba Napokea Kwako Napokea Kwako
     .  ( Afya Yangu)
Baba Napokea kwako Napokea Kwako
     . .  (Utajiri wangu)
Yesu Napokea Kwako Napokea Kwako
     ... (Elimu Yangu)
Baba Napokea Kwako

Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
Napokea Kwako (Napokea Kwako)
Baba Napokea Kwako Napokea Kwako
        (Kazi Yangu)
Baba Napokea kwako Napokea Kwako
.....    (Na Watoto Wangu)
Yesu Napokea Kwako Napokea Kwako Baba Napokea Kwako

No comments:

Post a Comment