Sunday 20 December 2015

BWANA YESU LYRICS BY EUNICE NJERI


Bwana

LYRICS  Written  by  Ester  Nyamai

LISTEN TO 'BWANA YESU'

Artist: Eunice Njeri
Song: Bwana Yesu
Language: Kiswahili

Verse 1
Bwana Yesu, Bwana Yesu,
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo,
sina Baba mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo,
sina Baba mwingine ila wewe

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu,
msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu,
msaada wangu wa karibu

Verse 2

Haleluya, Haleluya Baba Oh
ulinifia mwokozi wangu,
dhambi zangu zote ukaziosha
Sijapata mwingine, dunia yote
kama wewe yahweh

  Sijapata mwingine,
  sijapata mwingine kama wewe Yahweh

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu,
msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu,
msaada wangu wa karibu

Verse 3
Nakuinua, nakuinua Milele milele,
nitakuimbia Kwa yale umenitendea
Baba nakusifu Milele Milele,
milele daima Bwana wangu
Milele na milele, milele daima
Bwana wangu we

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu,
msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu,
msaada wangu wa karibu

Verse 4
Hakuna hakuna nasema
(Hakuna kama wewe)

Mbinguni na duniani tuimbe
(Hakuna kama wewe)

Aliye filia dhambi zangu nasema
(Hakuna kama wewe)

Mponyaji wangu ndiye Jehova rafa
(Hakuna kama wewe)

Hakuna hakuna naimba
(Hakuna kama wewe)

Hakuna hakuna nasema
(Hakuna kama wewe)

Ulimwengu wote tuimbe
(Hakuna kama wewe)

Dunia yote tuseme tusemee
(Hakuna kama wewe)

Nasema hakuna hakuna hakuna
(Hakuna kama wewe)

Oh hakuna hakuna nasema
(Hakuna kama wewe)

Oh hakuna hakuna naimba
(Hakuna kama wewe)

Hakuna hakuna tuimbe
(Hakuna kama wewe)

hakuna hakuna nasema
(Hakuna kama wewe)

Hakuna hakuna naimba
(Hakuna kama wewe)

No comments:

Post a Comment