Sunday 20 December 2015

KAMBUA BADO NA SIMAMA LYRICS

Kambua - Bado Nasimama Lyrics

Language :swahili

Label.
Bado nasimama
Bado naendelea
Bado najikaza
Nifike kule

Verse 1
  Bila nehema na rehema zako,
  ningekuwa wapi Mimi
  Bila upendo, na fadhili zako,
  maisha yangu yangekuwa bure
  Kwa wema wako, kanisimamisha,
  Na Imani yangu, ukaiweka salama
        Kama si wewe,
Mwamba wa wokovu wangu
Nisingeweza. Ningeangamia.

Chorus x2
Bado nasimama
Bado naendelea
Bado najikaza
Nifike kule

Verse 2
Nainua macho yangu
kwako wewe Baba yangu
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu ukatika bwana
        Hasinzii anilindaye,
Haniachi mimi niteleze Anipa nguvu,
na uwezo wake, Ili mimi nifike kule Nifike kule…

Chorus x2

Bado nasimama
Bado naendelea
Bado najikaza
Nifike kule

Instrumental

Chorus x6
Bado nasimama
Bado naendelea
Bado najikaza
Nifike kule

No comments:

Post a Comment