Monday 28 December 2015

WA AJABU LYRICS BY MERCY LINAH WAMBUGU



Wa Ajabu Lyrics By Mercylinah Wambugu

Verse 1
Ewe mungu wa miungu, ume tukuka,
Muumbaji wa vyote duniani na mbingu,
Tunaa kuinamiya x2

Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu x2
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu

Verse 2
Utukufu na heshima,
kwako eeh we mungu,
Pia nguvu na shukrani,
kwako ewe mungu x2

Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu x2
Mfalme wa wafalme,
Mwenye enzi tunakuabudu

Verse 3
Mtakatifu mwaminifu,
Tunakuinamia, El-shaddai….
Adonai…, Alfa na Omega x2

Chorus
Wa ajabu wewe wa ajabu x2
Mfalme wa wafalme, Mwenye enzi tunakuabudu

1 comment: