Sunday 20 December 2015

MIMI NATAKA USHIRIKA NA WEWE LYRICS BY CHRISTINA SHUSHO

USHIRIKA by Christine Shusho.

CHORUS.

Mimi nataka ushirika nawe ee.
     . ewe roho
Mimi nataka ushirika nawe ee
      . …Roho *(repeat)

Nimekubali habari hizi,
ya kuwa wewe ni Mungu roho,
roho nataka ushirika nawe
Ulikuwepo tokea mwanzo,
ulishiriki kuniumba
Nataka ushirika nawe

Nakuhitaji maishani
unihifadhi moyo wangu
roho ee roho wee
nataka ushirika nawe

(Chorus)
Wayachukua maombi
watuombea kwa kuugua roho,
roho nataka ushirika nawe
Ukiwa nasi twatiwa,
nguvu twafanya kazi kwa ujasiri roho,
        ee roho
nataka ushirika nawe
Uyatawale maisha yangu
sitaogopa nikiwa nawe eee roho

(Chorus)
Wewe Mungu uliye hai,
tena roho wa kweli wewe kiongozi,
nataka ushirika nawe
Wewe mafuta ya shangwe
tene harabuni yetu
roho wa milele,
nataka ushirika nawe

Wewe roho msaidizi
tena mshauri wetu
wewe kidole cha Mungu
nataka ushirika nawe

… (Chorus)

2 comments: