Sunday, 24 January 2016

UMETENDA MEMA LYRICS BY KAMBUA


Umetenda Mema (You’ve Done Great Things) Lyrics by Kambua

(Sung in Swahili)
Nakushukuru we, nakutukuza we
(I thank You, I praise You)

Umenitendea mambo ya ajabu
(You’ve done great things for me)

Mimi niseme je, ili nikushukuru?
(What can I say to thank You?)

Nasema Ewe Mungu, umenitendea
(I say you Oh God, have done great things)

Chorus:
Umetenda mema, umetenda mema (You’ve done great things x3)

Umetenda mema, ndio maana naimba     (That is why I sing) (Repeat)

Wimbo wa moyo wangu, na nafsi yangu yote
(The song of my heart and being)

Yasema “ewe Mungu, umenitendea”
(All say “You God have done great things”)

Maisha yangu yote, nakutolea wewe
(All my life, I give to you)

Kwa maana Ewe Baba, umenitendea (Because you Father, Have done great things)

(Chorus)

No comments:

Post a Comment