SINA MUNGU MWINGINE LYRICS AND TRANSLATION BY SIFA VOICES
Sina mungu mwingine, wa kutegemea,
(I have no other god, to relie on )
Mbinguni na duniani, hapana mwingine
,( on Heaven and earth, there is no other)
Sina cha kupendeza, wala cha faida,
(I have nothing pleasing, or of any gain)
Ila wewe Bwana wangu, Mungu wa Milele, (except you my Lord , everlasting God)
Mwili na moyo wangu vyawezazimia,
(My heart and body may faint)
Bali Mungu ndiye nguvu , za uhai wangu, (but God is my strength and life)
Yeye sehemu yangu, Milele daima,
(He is part of me, Forever and ever)
Nitaingia hema yake, na sifa zake kuu,
(I will enter into his house, with mighty praise )
Ni nani, Mwingine, ajazaye roho yangu na kunipa raha kamili,
(Who else feels my heart with hapiness?)
Ni nani semeni, amkomboaye mwanadamu na kumshindia shetani,
(Say who saves man and defeats the devil for him? )
Sina mungu mwingine, wa kutegemea,
(I have no other god, to relie on )
Mbinguni na duniani, hapana mwingine,
( on Heaven and earth, there no other)
Sina cha kupendeza, wala cha faida,
(I have nothing pleasing, or of any gain)
Ila wewe Bwana wangu, Mungu wa Milele, (except you my Lord , everlasting God)X2
Ni nani, Mwingine, ajazaye roho yangu na kunipa raha kamili,
(Who else fills my heart with hapiness?)
Ni nani semeni, amkomboaye mwanadamu na kumshindia shetani,
(Say who saves man and defeats the devil for him? )
Instruments play---
Ni nani, Mwingine, ajazaye roho yangu na kunipa raha kamili,
(Who else feels my heart with hapiness?)
Ni nani semeni, amkomboaye mwanadamu na kumshindia shetani,
(Say who saves man and defeats the devil for him? )
No comments:
Post a Comment