Tuesday, 5 January 2016

NINA SABABU YA KUKUABUDU LYRICS BY SARAH. K

NINA SABABU by Sarah Kiarie

Song Tittle: Nina Sababu

Artiste: Sarah Kiarie

Country: Kenya

Ninasababu ya kuku abudu
(I have a reason to worship you)

Ninasababu ya kuku usifu
(I have a reason to praise)

Ukuu wako na uwaminifu wako
(Your greatness and your faithfulness)

Nisababu ya kuku uabudu
(It’s the reason to worship you)

Halleluya ninasababu ya kuku uabudu (Halleluya i have a reason to worship you)

Halleluyah ninasababu ya kukuusifu (Halleluyah i have a reason to praise you)

Ukuu wako na uwaminifu wakoo
(Your greatness and faithfulness)

Nisababu ya kuku uabudu
(It’s the reason I worship You)

Uliniiumba ilinikuabudu
(You created me to worship you)

Uliniumba nikuku usifu
(You created me to praise you).

Kwamfano wako uliniiumba
(in your own image you created me)

Nikwasababu ya kuku abudu
(so that I worship You)

No comments:

Post a Comment