Kazi ya msalaba lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift
Baraka Nimepokea, Kwako Nimetulia Mimi Nisije Tumbukia
Kama Macho Ya Dunia
Kwako Nijifiche Milele
Fitina Zanizingira, Anasa Kila Kona
Kwa Mikono Yako, Niweke Mtakatifu Tokea Leo Hadi Milele
Niwe Radhi Mimi, Kwa Makosa Yote Anipenda, Anijali, Anipenda x2
Refrain:
Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali, Nitakusifu, Nitakuimbia Milele x2
Ilikuwa Ni Juzi Tu, Mwanzo Kwangu Kutembea
Ukapumzisha Kwangu Kuongonjea
Lakini Kwako Zaidi Nasogea
Nishiriki Nawe Kwa Mazoea
Zile Kwako Ndo Napokea Nikuone,
Kwangu Baba Ukinitendea
Wewe Ndo Wangu Tu
Mimi Na Wewe Tu Nikuone Kwangu Ukinitendea x2
Refrain:
Siri Ni Yesu, Baba
Siri Ni Ye
Siri Ni Yesu x2 Refrain
No comments:
Post a Comment