Tuesday, 5 January 2016

HAKUNA Silaha lyrics by Sarah k

Hakuna silaha lyrics by Sarah k.

Hakuna Silaha Yeyote Iliyotumwa Kinyume Chetu Itakayofaulu x2

Silaha Yoyote Itakayotumwa Kwa Njia Moja Au By in Itawanyishwa Kwa Njia Saba Haitafaulu x2

(Refrain)
Yalionenwa Na Walio Hai Na Walio Kufa Chini Ya Maji Na Nchi Kavu Haitafaulu x2

(Refrain)
Hakuna x3 Itakayofaulu Neno La Mungu Linasema Hakuna, Uchawi, Mapepo, Unganga, Ushirikina Itakayofaulu Usiogope, Simama Na Neno La Mungu Re

No comments:

Post a Comment