NIlikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Marafiki wangu wote wamenikimbia ahe Jehova Nissi nlia nihurumie Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako eeh
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Nilikuwa natafuta kipenzi cha roho yangu
Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Maumivu machungu mengi yamenijaza mie eh Jehova Nissi nlia nihurumie,
nipe Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako
NIlikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu Sasa mie nauliza, nianze wapi eh
Marafiki wangu wote wamenikimbia ahe Jehova Nissi nlia nihurumie Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako Uwezo, uwezo,
wa kusimama imara juu ya neno lako Nipe uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako Uwezo, uwezo, wa kusimama imara juu ya neno lako Ohh aa….
Uwezo, uwezo,
wa kusimama imara juu ya neno lako
Uwezo, uwezo,
wa kusimama imara juu ya neno lako
Wa kusimama imara juu ya neno lako eh
Wa kusimama imara juu ya neno lako eh
No comments:
Post a Comment