Halleluya, Ndugu yangu Biblia inasema waabudio halisi watamwabudu. Bwana katika roho na kwa kweli
Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako, ukiwa ndani ya basi unasafiri, ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana tumwambie wastahili uko mwenye nguvu
Ukiwa uliamka asubuhi na haukumwambia kitu Mungu, ni wakati wa kumwambia
Bwana Utukuzwe, uinuliwe
Tujiunge pamoja kwa wakati huu tumwambie Bwana "Wastahili
" Ikiwa uko katika maombi ya kufunga na kuomba, hebu tujiunge pamoja, Twende:
Haleluya Mungu wetu mwenye nguvu,
ni Baba wa Milele
(Mungu wetu mwenye nguvu,
Baba wa milele)
Eeh Eeh Ni Mwenye nguvu,
Ebeneza Baba wa milele
(Mungu wetu mwenye nguvu,
Baba wa milele)
Wanipa mema, wewe ni mwenye nguvu,
Baba wa milele yote
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
Nguvu zako zashangaza Dunia,
uliumba Mbingu pasipo nguzo,
hewani Baba.
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele) Uko mwema, Bwana, matendo yako ni ya ajabu sana apana..
Neema yako, fadhili zako,
kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
baba Nikikosewa na maisha ,
wanipa tumaini la kupata maisha Baba Wajapo nicheka majirani wangu Wewe upo upande wangu,
Uhimidiwe Yahweh Neema yako,
fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
Wanipa tumaini la maisha Baba yangu o duniani Natembea nawe Baba yangu, Hujaniacha mimi o Baba..
Neema yako, fadhili zako,
kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
Wanipa tumaini la maisha Baba yangu oooh duniani Natembea nawe Baba yangu, Hujaniacha mimi oooh Baba.
Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
Kulala, kuamka ni kwa neema yake Mungu, Ndugu yangu, Ulimpa mungu nini wewe kusudi uwe jinsi ulivyo?
Usijivune bure ni neema yake baba.
Neema yako, fadhili zako,
kila asubuhi Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
Aiiiii, Yesu, nani kama wewe Bwana,
Sina mwingine kukuliko wewe,
mfalme wa dunia ni wewe,
mwanzo na mwisho ni wewe Baba aaa oh Yesu Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Rafiki yangu, I love you, I love you, I love you Baba yo Baba
utukuwezwe , Baba uinuliwe Maneno yako yafungua watu,
yafungua watu, yafungua watu Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Sitasahau uliponitoa,
Umenitoa mbali, umenitoa mbaali
baba Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Oooh oooh, uhimidiwe yahweh
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
Rafiki yangu nakupenda sana,
nakupenda sana, nakupenda sana Baba eeh
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Rafiki yangu
I love you, I love you, I love you, I love you Baba utukuzwe,
Baba uinuliwe Sitasahau ulikonitoa,
Umenitoa mbali, umenitoa mbaali baba Baba utukuzwe,
Baba uinuliwe Maneno yako Yana nguvu sana, Yana nguvu sana, Yana nguvu sana Baba Baba utukuzwe,
Baba uinuliwe Kwa neno lako Lazaro kafufuka, kafufuka, Kafufuka Yesu wangu Baba utukuzwe,
Baba uinuliwe Rafiki yangu nakupenda sana, nakupenda sana, nakupenda sana Baba Baba utukuzwe, Baba uinuliwe Oooh oooh, Baba, ooooo, Baba, ooooo Baba, mmmmmm, noono, ooooo,, Baba yoyyo
No comments:
Post a Comment