Chorus
Akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye
ndiye Mungu
mwenye baraka zote.
Akiisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu
mwenye baraka zote.
Verse 1 ;
Akisema atakubariki wala usitie shaka
kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote mipango yake ya ajabu tena haibadiliki
akisema atakuinua ndiye mwenye kuinua akisema atakupa mtoto katika umri wowote aliwapa Sarah na Hannnah lipi asiloweza
Chorus :
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote akisema atakubarikihakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Verse 2:
Akisema atakubariki watoto wako waelimike wapate na shahada nyingi hakuna atakaye zuia akisema utapona hakuna atakayezuia mama aliyetokwa na damu aliponywa na kanzu yake akisema atakubariki hakuna atakaye zuia atalinda afya yako maana yeye ndiye mwenye afya
Chorus;
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote akisema atakubariki hakuna atakaye zuia kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
Verse 3 ;
watembelea miguu hata baisikeli huna
akisema uendeshe Musso kesho utaendesha waishi nyumba ya matope huna hata mavazi akianza kukubariki majirani watashangaa akisema atakuinua mbele ya adui zako atakuandalia meza ule, unywe wakitizamaaah
Chorus
akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote akisema atakubariki
hakuna atakaye zuia
kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote
No comments:
Post a Comment