Nasadiki Mungu moja nasadiki. (sadiki)
Ndiye baba yetu mwenyezi nasadiki kwake Mungu nasadiki
Mumba mbingu hata Dunia nasadiki
Na kwa Yesu kristu mwana WA Mungu sadiki kwake Mungu..
Nasadiki kwake Mungu nasadiki (nasadiki)
Kwa Imani kwake Mungu nasadiki sadiki*2
Mwana wa pekee WA Mungu nasadiki.
Mwenye kuzaliwa kwa baba nasadiki. Alitungwa yeye kwa roho mtakatifuu-kazaliwa na Maria yule bikira.
Kishautia yeye Bila Kosar kasulubiwa . Alisulubiwa kwa amri yake pilato
Kwa ajili yetu mwokozi aliteswa
Mwana wake Mungu akafa akazikwa.
Siku ya Tatu kafufuka katika wafu
Alapaha Juu mbinguni kwa baba yake
Ndipo ameketi kuume kwa babaye
Mungu baba yetu mwenyezi muumba Vyote..
Ndipo kristu mkombozi atatokea
Kuhukumu Wales wazima na wafu
Kwake roho mtakatifu WA Mungu baba
Kwa kanisa takatifu LA katoliki.
No comments:
Post a Comment