Thursday, 26 November 2015

BABA YETU

Jina lako  Bwana litukuzwe
Utawale  kwetu  milele  yote. *2

Stanza  one.
Baba  yetu  mwema  uliye  mbinguni
Jina  lako baba litukuzwe .

Stanza  two.
Na ufalme  wake  uje  haha kwetu
Na mapenzi  yako yatimilike.

Stanza  three.
Tupe  leo  mkate  was kila  siku
Tupe leo  mkate  WA kila  siku.

Stanza  four.
Na utusamehe makosa  yetu
Kama tufanyavyoy kwa  ndugu  zetu..

Stanza  five.
Situtie  baba kishawishini
Bali  maovuni  utuokoe.

Stanza  six.
Ufalme  na nguvu  na utukufu 
Vyote  vyako  baba hata  milele.

No comments:

Post a Comment