Sunday 24 January 2016

TUPENDANE LYRICS BY WILLY PAUL

TUPENDANE LYRICS BY WILLY PAUL MSAFI

Verse 1.
Alishasema alikiba ,mapenzi yanarun dunia,
Alisema msanii wa bongo mapenzi yanarun dunia,
Kama mapenzi yanarun dunia ,mbona willypaul naliax2

Alisema msanii wa bongo yanarun dunia, mhn yanarun dunia ,mbona willypaul nalia Mmm yanarun dunia ,mbona willypaul natukanwa,

Verse2
Sisi wote vipofu kwake jalali,
Lakini hajawahi tupoteza mama, msela,
Ati kuna propaganda tena mmm

Ati kuna propaganda tena inasambaa,
Ati hakuna upendo baina yetu wasanii,
Dj moh hampendi sadic ,
sadic hampendi moraya, Tangu lini x2

yote ni uongo, Tupendane eh ,
upendo ni freex4

Verse 3
Chuki huwanga sihisi kwa maombi yanaishi,
Nakumbuka ndugu yangu , mwenye madread na mpenda vicrazy,
(sina shida na bahati hey hey hey)x2

Tukipigana kila mara tunaangusha hekalu la bwana
Tutende mema aliye nyumbani apate tamaa ya kuokoka

Verse 4
Na tukipendana tukipendana ,
tukipendana hatatuacha muhadhara,
na hatatuacha muhadhara atatupenda sisi ah ah, (hatuacha muhadhara)x4

Tukipendana,coz hayo (ndio mapenzix3),   Na hayo (ndio mapenzi x3) ,
Ukimpenda mwenzio oh ,hayo ndio mapenzi,

Ukimpenda adui ah ,hayo ndio mapenzi, Ukimpenda mbaya ah ,na hayo ndio mapenzi,
Husipomsengenya yule mwenzako ,
hayo ndio mapenzi Uu ndio mapenzi x3

hayo (ndio mapenzix3),
(tupendane eh x2)

No comments:

Post a Comment