Sunday 24 January 2016

NYOTA YA AJABU LYRICS BY ROSE MUHANDO

Nyota ya Ajabu lyrics by Rose Muhando

Verse 1:
ILe nyota ya ajabu, yaonekana mashariki Imejaa ishara zote, za kuzaliwa mfalme Mamajuzi wako nyuma, kuifuata nyota ile walifika Yerusalemu, nao wakauliza (repeat)

Yuko wapi yeye aliyezaliwa,
mtawala wa wayahaudi
ili tumsujudie

Chorus:
Mjini mwa Daudi, amezaliwa mkombozi Atakayewaokoa watu na dhambi zao

Dunia shangilieni, amezaliwa messiah Haleluya haleluyah, sifa ni kwa Bwana

Verse 2:
Walikuwako na wachungaji,
waliokaa makondeni Wakilinda kundi lao kwa zamu
usiku Malaika kawatokea, kawambia msiogope
Maana leo katika Yuda, amezaliwa messiah

(Chorus)

Verse 3:
Walipokwisha kusema haya,
Malaika wa bwana Waliimba wimbo ule, wimbo usio na mwisho
Utukufu juu kwa Mungu mbinguni Duniani we amani kwa aliowaridhia

(chorus)

Verse 4:
Maongeo enzi yake, na tena begani mwake
Tazameni anakuja kwa jina lake Bwana

Maongeo enzi yake, na tena begani mwake Tazameni anakuja kwa jina lake Bwana

(chorus)

No comments:

Post a Comment