Solomon Mukubwa Song:Kama nitakufa leo Year:
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Nimeona urafiki wa dunia si kama urafiki wangu na Yesu
hapa duniani, bibi yako akifariki Baba upendo wenu utaishia makaburini
nimeona urafiki wa dunia si kama urafiki wangu na Yesu
mume wako akifariki Baba upendo wenu utaishia makaburini
Nimeona urafiki wa dunia si kama urafiki wangu na Yesu rafiki yangu ukifa leo,
sisi na jamaa lako upendo wetu mwisho ni makaburini
Nimeona urafiki wa dunia si kama urafiki wangu na Daddy
Yesu Anasema mimi nikifa, Atanifufua hadi binguni nitanyakuliwa naye tuingie binguni
CHORUS LYRICS:
Sijaona rafiki kama Yesu...
ata nikifa, atanifufua kwenda binguni
sijaona rafiki kama Yesu Sijaona rafiki kama Yesu...
ata nikifa, atanifufua kwenda binguni
sijaona rafiki kama Yesu
VERSE 2 LYRICS:
Usilie wewe uliachwa watoto msilie mliachwa na wazazi mtetezi wenu Yuko juu
Anaona mbona wawatesa hawa yatima waliobaki na wewe?
wawatendea vibaya mtetezi wa yatima, baba yao yuko juu
Atajibu kwa wakati wowote ni rafiki, ni rafiki,
Hamkatai mtu Anatupenda wote sawa
daddy hakuna kama wewe
baba na mama wanaweza kukuwacha
ndugu marafiki wanaweza kukutoroka
sijaona rafiki kama wewe, Utakaye nifufua
CHORUS LYRICS:
Sijaona rafiki kama Yesu... ata nikifa,
atanifufua kwenda binguni sijaona rafiki kama Yesu
Sijaona rafiki kama Yesu... ata nikifa, atanifufua kwenda binguni sijaona rafiki kama Yesu
VERSE 3 LYRICS:
Urafiki wa dunia si kama wa Yesu
ooh marafiki wa dunia wanaachana njiani
lakini Yesu ukichoka, anakupeleka hadi mwisho wako
ndugu marafiki wa duniani wa faida ukiwa na hela utapata marafiki wengi
lakini wacha zikwishe, wanabaki wanaongea vibaya.....
alikua amejivuna sasa zimekwisha
marafiki wa dunia si wa faida kama daddy
ukifa wanakuwacha kaburini
Yesu ni rafiki mwema, hawezi kuwacha, wakati wa shida atakuinua
CHORUS LYRICS:
Sijaona rafiki kama Yesu...
ata nikifa, atanifufua kwenda binguni
sijaona rafiki kama Yesu Sijaona rafiki kama Yesu...
ata nikifa, atanifufua kwenda binguni sijaona rafiki kama Yesu